Mzize ndio ameanza msimu hivyo

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
9h ago
Mzize ndio ameanza msimu hivyo

Mshambuliaji wa Yanga Clement Mzize jana alifungua akaunti yake ya mabao msimu huu akiifungia Yanga bao la ushindi katika mchezo wa ligi kuu dhidi ya Mashujaa Fc.

Mchezo huo uliopigwa uwanja wa KMC Complex, ulishuhudia Wananchi wakiibuka na ushindi wa mabao 2-1 ambapo walilazimika kutokuea nyuma kwa bao moja kupata ushindi huo.

Hilo lilikuwa bao la kwanza la Mzize kwenye ligi baada ya muda mrefu kupita bila ya kuonekana uwanjani akipambana na changamoto za majeraha.

Baada ya kuingia kipindi cha pili, Mzize alionyesha utofauti mkubwa akiongeza uhai kwenye safu ya ushambuliaji ya Yanga.

Bao alilofunga katika mchezo huo pia likamfanya aondoke na tuzo ya nyota wa mchezo.

Kurejea kwa Mzize ni habari njema kwa Yanga katika kipindi ambacho timu inaonekana kupata wakati mgumu kuweka mipira kambani.

Katika mchezo dhdi ya Mashujaa, Yanga ilitengeneza nafasi nyingi hasa kwenye kipindi cha kwanza lakini suala la umaliziaji limeendelea kuwatesa Wananchi.

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
6h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
6h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
10h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
14h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
15h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
15h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
1d ago
READ MORE β†’