Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
1h ago
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini

Wakati Yanga ikitarajiwa kumkosa kiungo wake Mudathir Yahya aliyeonyeshwa kadi nyekundu kwenye mchezo uliopita dhidi ya TRA United, habari njema kwa Wananchi ni urejeo wa X-Factor, Stephane Aziz Ki.

Aziz Ki amemaliza adhabu ya kukosa mechi mbili kufuatia kadi nyekundu aliyopewa kwenye mchezo dhidi ya Geita Gold.

Kiungo huyo mshambuliaji alikosa mechi dhidi ya Simba na TRA United sasa akitarajiwa kuongeza nguvu kwenye kikosi cha Wananchi kuelekea mchezo dhidi ya Mashujaa Fc hapo kesho.

Aziz Ki alikuwa na nafasi finyu kwenye kikosi cha aliyekuwa kocha mkuu Manqoba Mngqithi ambaye aliweka msimamo akihitaji kiungo huyo kuimarisha 'fitness' yake kabla ya kumpa muda mrefu wa kucheza.

Je mambo yatabadilika baada ya Manqoba kuondoka? 

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
5h ago
READ MORE β†’
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
6h ago
READ MORE β†’
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
6h ago
READ MORE β†’
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
7h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
10h ago
READ MORE β†’
Yanga yarejea Dar, kujipanga dhidi ya Mashujaa Fc
Yanga yarejea Dar, kujipanga dhidi ya Mashujaa Fc
1d ago
READ MORE β†’
Behlulovic anasubiri simu ya Injinia Hersi
Behlulovic anasubiri simu ya Injinia Hersi
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yaondoka Arusha, kituo kinachofuata ni Mashujaa Fc
Yanga yaondoka Arusha, kituo kinachofuata ni Mashujaa Fc
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumapili, Oct 25 2026
Magazeti ya leo Jumapili, Oct 25 2026
1d ago
READ MORE β†’
Yametimia, Manqoba afutwa kazi Yanga
Yametimia, Manqoba afutwa kazi Yanga
1d ago
READ MORE β†’