Baada ya kulazimishwa suluhu ya bila kufungana dhidi ya TRA United jana, kikosi cha Yanga kimeondoka mkoani Arusha kurejea Dar es salaam.
Jumanne, Yanga inakabiliwa na mchezo mwingine wa ligi kuu dhidi ya Mashujaa Fc utakaopigwa uwanja wa KMC Complex.




ADVERTISE HERE