Ni kesho pale uwanja wa Azam Complex Yanga itakamilisha mchezo wa mkondo wa pili kuwania tiketi ya kutinga hatua ya makundi ligi ya mabingwa Afrika (CAFCL).
Wananchi watashuka kwenye mchezo huo utakaopigwa saa 1 usiku wakiwa tayari wana uongozi wa mabao 4-0 ushindi waliopata kwenye mchezo wa kwanza.
Vijana wa kocha Manqoba Mngqithi wamekamilisha maandalizi yao ya mwisho leo na wako tayari kuwapa furaha mashabiki wao hapo kesho.







ADVERTISE HERE