Viingilio; Yanga vs CFFA, CAFCL R2

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
5h ago
Viingilio; Yanga vs CFFA, CAFCL R2

Baada ya ushindi wa mabao 4-0 dhidi ya CFFA kwenye mchezo wa ugenini, Jumatano ya wiki hii Wananchi watakuwa nyumbani dimba la Azam Complex kuikabili CFFA kwa mara nyingine kwenye mchezo wa mkondo wa pili kuwania kufuzu hatua ya makundi ya ligi ya mabingwa barani Afrika (CAFCL).

Yanga imetangaza viingilio vya mchezo huo unaotarajiwa kupigwa saa 1 usiku.

Wananchi wamepania kutinga hatua ya makundi kibabe kwa kuweka rekodi ya kufika hatua hiyo kwa misimu minne mfululizo.

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Mwenda aanza mazoezi Yanga
Mwenda aanza mazoezi Yanga
52m ago
READ MORE β†’
Jumatano tuweke rekodi pamoja - Kamwe
Jumatano tuweke rekodi pamoja - Kamwe
7h ago
READ MORE β†’
Yanga yaweka rekodi ya mabao raundi ya pili CAFCL
Yanga yaweka rekodi ya mabao raundi ya pili CAFCL
9h ago
READ MORE β†’
TFF kuwabaini wanaotumia dawa za kusisimua misuli Ligi Kuu
TFF kuwabaini wanaotumia dawa za kusisimua misuli Ligi Kuu
10h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 19 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 19 2026
11h ago
READ MORE β†’
Highlights : CFFA 0-4 Yanga, CAFCL (FT)
Highlights : CFFA 0-4 Yanga, CAFCL (FT)
21h ago
READ MORE β†’
Toure ameweka kambani kila raundi CAFCL
Toure ameweka kambani kila raundi CAFCL
22h ago
READ MORE β†’
Ipo namna Manqoba anafelishwa na tmu yake
Ipo namna Manqoba anafelishwa na tmu yake
1d ago
READ MORE β†’
Kangwanda alihitaji dakika 15 kudhihirisha ubora wake
Kangwanda alihitaji dakika 15 kudhihirisha ubora wake
1d ago
READ MORE β†’
Manqoba alia na matumizi ya nafasi
Manqoba alia na matumizi ya nafasi
1d ago
READ MORE β†’