Ni Arajiga tena Kariakoo Derby

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
2h ago
Ni Arajiga tena Kariakoo Derby

Mwamuzi anayefanya vizuri kwanye jukwaa la Kimataifa kutoka Tanzania Ahmed Arajiga amepewa jukumu la kuchezesha mchezo wa ligi kuu kati ya Simba dhidi ya Yanga.

Mchezo huo wa Kariakoo Drby, utapigwa Jumamosi Oktoba 10 kwenye uwanja wa Uhuru.

Arajiga atasaidiana na waamuzi wasaidizi Mohamed Mkono (Mwamuzi msaidizi namba 1) na Ally Ramadhani (Mwamuzi msaidizi namba 2).

Mchezo huo utapigwa saa 1 usiku.

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Manqoba aweka mkakati wa kuidhibiti Simba Kariakoo Derby
Manqoba aweka mkakati wa kuidhibiti Simba Kariakoo Derby
10m ago
READ MORE β†’
Kimya kingi kina mshindo mkuu
Kimya kingi kina mshindo mkuu
3h ago
READ MORE β†’
CFFA kutumia dimba la Azam Complex mechi dhidi ya Yanga
CFFA kutumia dimba la Azam Complex mechi dhidi ya Yanga
3h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Ijumaa Oktoba 09 2026
Magazeti ya leo Ijumaa Oktoba 09 2026
7h ago
READ MORE β†’
Maxi anaisaka rekodi Kariakoo Derby
Maxi anaisaka rekodi Kariakoo Derby
22h ago
READ MORE β†’
Iweke Xtra 90 katika simu yako
Iweke Xtra 90 katika simu yako
1d ago
READ MORE β†’
Wote waliokuwa kwenye majukumu ya timu za Taifa wamerejea - Kamwe
Wote waliokuwa kwenye majukumu ya timu za Taifa wamerejea - Kamwe
1d ago
READ MORE β†’
Safari hii hakuna mambo ya kufanya mazoezi ya mwisho
Safari hii hakuna mambo ya kufanya mazoezi ya mwisho
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 08 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 08 2026
1d ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amuachia kazi maalum Zakouane Kariakoo Derby
Aziz Ki amuachia kazi maalum Zakouane Kariakoo Derby
1d ago
READ MORE β†’