Hizi hapa mechi za Yanga Oktoba

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
2h ago
Hizi hapa mechi za Yanga Oktoba

Kikosi cha Yanga kinaendelea na maandalizi yake KMC Complex kuelekea mchezo wa ligi kuu dhidi ya watani zao Simba ambao utapigwa Oktoba 10 kwenye uwanja wa Uhuru.

Mabingwa hao wa ligi kuu ya NBC kwa misimu mitano mfululizo, wataianza Oktoba kwa mchezo huo wa Dabi ya Kariakoo na kisha kuelekea Arusha kuikabili TRA United mchezo utakaopigwa Oktoba 13 uwanja wa Sheikh Amri Abeid.

Baada ya mtanange huo Yanga itahamishia nguvu zake kwenye michuano ya ligi ya mabingwa kuwania tiketi ya kutinga hatua ya makundi wakikabiliwa na michezo miwili dhidi ya CFFA ya Madagascar.

Mchezo wa kwanza utapigwa Oktoba 17 Mauritius kabla ya mechi ya marudiano itakayopigwa Oktoba 24 jijini Dar es salaam.

Ni mwendo wa bandika bandua kwani baada ya mchezo huo, Yanga itarejea tena kwenye ligi kuu wakitarajiwa kuikabili Mashujaa Fc Oktoba 27 uwanja wa KMC Complex.

Yanga SC Stories

Dabi ya Kariakoo kupigwa dimba la Uhuru
Dabi ya Kariakoo kupigwa dimba la Uhuru
1h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Ijumaa, Oktoba 02 2026
Magazeti ya leo Ijumaa, Oktoba 02 2026
7h ago
READ MORE β†’
Siku ya tatu ya maandalizi KMC Complex
Siku ya tatu ya maandalizi KMC Complex
18h ago
READ MORE β†’
Edna Lema akanusha kujiuzulu Yanga Princess
Edna Lema akanusha kujiuzulu Yanga Princess
21h ago
READ MORE β†’
Mngqithi awaangazia vijana wanaogombea nafasi Yanga
Mngqithi awaangazia vijana wanaogombea nafasi Yanga
1d ago
READ MORE β†’
Kutofautiana uwanjani ni kawaida - Mwamnyeto
Kutofautiana uwanjani ni kawaida - Mwamnyeto
1d ago
READ MORE β†’
Dozi yao iinaandaliwa kimyakimya
Dozi yao iinaandaliwa kimyakimya
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 1 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 1 2026
1d ago
READ MORE β†’
Yanga Princess bado haijajipata
Yanga Princess bado haijajipata
1d ago
READ MORE β†’
Pacome sasa anatembea bila magongo
Pacome sasa anatembea bila magongo
1d ago
READ MORE β†’