Dozi yao iinaandaliwa kimyakimya

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
1h ago
Dozi yao iinaandaliwa kimyakimya

Kikosi cha Yanga kimerejea mazoezini wachezaji wakiwa na ari kubwa kuelekea mchezo wa ligi kuu dhidi ya Simba utakaopigwa Oktoba 10.

Wakati wapinzani wao Simba wakianza tambo mapema, upande wa Yanga mambo ni tofauti kwani wameweka nguvu kubwa zaidi kwenye maandalizi kuliko kelele za mitandaoni.

Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Yanga Ali Kamwe amesema wanajiandaa kikamilifu kuhakikisha kikosi kinakuwa tayari kwa mchezo huo dhamira yao ikiwa kuchukua alama zote tatu.

Kamwe amesema Yanga inakosa idadi kubwa ya wachezaji ambao wako kwenye majukumu ya timu za Taifa za wakubwa na vijana (wachezaji 15).

Licha ya kuwakosa wachezaji hao, amesema waliopo wanaendelea na program za mazoezi chini ya Kocha Mkuu Manqoba Mngqithi.

Yanga SC Stories

Kutofautiana uwanjani ni kawaida - Mwamnyeto
Kutofautiana uwanjani ni kawaida - Mwamnyeto
24m ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 1 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 1 2026
4h ago
READ MORE β†’
Yanga Princess bado haijajipata
Yanga Princess bado haijajipata
15h ago
READ MORE β†’
Pacome sasa anatembea bila magongo
Pacome sasa anatembea bila magongo
18h ago
READ MORE β†’
Manqoba katika maandalizi ya dabi ya pili
Manqoba katika maandalizi ya dabi ya pili
22h ago
READ MORE β†’
Mzize anaitaka dabi Oktoba 10
Mzize anaitaka dabi Oktoba 10
1d ago
READ MORE β†’
Kangwanda anauwasha moto Zambia
Kangwanda anauwasha moto Zambia
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Septemba 30 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Septemba 30 2026
1d ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya Kariakoo Derby
Maandalizi ya Kariakoo Derby
1d ago
READ MORE β†’
Edna Lema apania kumaliza uteja dhidi ya Simba Queens
Edna Lema apania kumaliza uteja dhidi ya Simba Queens
1d ago
READ MORE β†’