Baada ya mapumziko ya takribani siku nane, kikosi cha Yanga kimerejea mazoezini kujiandaa na mchezo unaofuata wa ligi kuu dhidi ya Simba utakaopigwa Oktoba 10 baada ya mapumziko ya FIFA.