Injinia Hersi ziarani Sweden

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
25 Sep 2026
Injinia Hersi ziarani Sweden

Rais wa Klabu ya Yanga na Mwenyekiti wa Shirikisho la Vilabu Afrika (ACA), Eng. Hersi Ally Said, akiwa nchini Sweden amepata fursa ya kukutana na Balozi wa Tanzania nchini Sweden, Mhe. Swahiba Mndeme, katika Jiji la Stockholm.

Katika ziara hiyo, Eng. Hersi alifanya mazungumzo na Mhe. Balozi Mndeme kuhusu masuala mbalimbali yanayohusu maendeleo ya michezo, hususan nafasi ya Watanzania wanaoishi nje ya nchi katika kuendeleza na kuitangaza michezo ya Tanzania katika mataifa mbalimbali.

Aidha, Rais huyo wa Klabu alipata nafasi ya kukutana na Viongozi wa Kilimanjaro FF, timu inayomilikiwa na kuendeshwa na Watanzania wanaoishi nchini Sweden.

Kilimanjaro FF imekuwa sehemu ya jitihada za Watanzania waishio Sweden kuendeleza vipaji na kujenga daraja la michezo kati ya Tanzania na diaspora.

Mkutano huo ulitoa fursa kwa viongozi hao kubadilishana uzoefu na mawazo kuhusu maendeleo ya soka, ushirikiano wa kimichezo pamoja na namna ya kuendelea kuwaunganisha Watanzania kupitia michezo.

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Yanga imepania kuiwekea rekodi CFFA
Yanga imepania kuiwekea rekodi CFFA
2h ago
READ MORE β†’
Ngoma wakati utafika, atapewa heshima yake
Ngoma wakati utafika, atapewa heshima yake
2h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 20, 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 20, 2026
5h ago
READ MORE β†’
Mwenda aanza mazoezi Yanga
Mwenda aanza mazoezi Yanga
18h ago
READ MORE β†’
Viingilio; Yanga vs CFFA, CAFCL R2
Viingilio; Yanga vs CFFA, CAFCL R2
23h ago
READ MORE β†’
Jumatano tuweke rekodi pamoja - Kamwe
Jumatano tuweke rekodi pamoja - Kamwe
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yaweka rekodi ya mabao raundi ya pili CAFCL
Yanga yaweka rekodi ya mabao raundi ya pili CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
TFF kuwabaini wanaotumia dawa za kusisimua misuli Ligi Kuu
TFF kuwabaini wanaotumia dawa za kusisimua misuli Ligi Kuu
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 19 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 19 2026
1d ago
READ MORE β†’
Highlights : CFFA 0-4 Yanga, CAFCL (FT)
Highlights : CFFA 0-4 Yanga, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’