La Liga kuendeleza soka Tanzania

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
19 Jun 2018
La Liga kuendeleza soka Tanzania
Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) na LaLiga, wasimamizi wa ligi kuu ya Hispania, wamesaini makubaliano ya miaka mitatu kushirikiana kwa pamoja kuendeleza mpira wa Miguu Tanzania.

Kulingana na taarifa iliyotolewa na TFF, hafla ya utiaji saini imefanyika jana Juni 18,2018 Makao Makuu ya LaLiga Madrid nchini Hispania.

Akizungumza na waandishi wa Habari leo kwenye ukumbi wa mikutano wa TFF, Afisa Habari wa shirikisho hilo, Clifford Mario Ndimbo amesema kwamba hii ni hatua nyingine kwa La Liga kujikita kwenye mpira wa miguu duniani na nia yake ya kushirikiana na Taasisi mbalimbali za maeneo mbalimbali.

Pamoja na hayo La Liga kwa kushirikiana na TFF watakuwa wakiandaa semina mbalimbali za ukocha, uongozi, uamuzi pamoja na semina za maendeleo ya soka la Vijana na wanawake.
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
2h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
7h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
7h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
8h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
11h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’