Mpya

Manqoba aondoka na tuzo ya ligi kuu August

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
6h ago
Manqoba aondoka na tuzo ya ligi kuu August

Kocha Mkuu wa Yanga Manqoba Mngqithi ametwaa tuzo ya kocha bora wa ligi kuu ya NBC kwa mwezi August 2026.

Manqoba ametwaa tuzo hiyo baada ya kuwabwaga Steve Barker wa Simba na Florent Ibenge wa Azam Fc.

Kocha huyo raia wa Afrika Kusini ameshinda tuzo hiyo baada ya kushinda mechi zote tano zilizopigwa August huku akiingoza Yanga kukaa kileleni mwa msimamo wa ligi.

More Stories

Toure anajiamini, atafunga sana
Toure anajiamini, atafunga sana
3h ago
READ MORE β†’
Mwalimu awaalika Wananchi SELE DAY
Mwalimu awaalika Wananchi SELE DAY
6h ago
READ MORE β†’
Hatutawadharau Gaborone United - Manqoba
Hatutawadharau Gaborone United - Manqoba
6h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki apunguziwa presha Yanga
Aziz Ki apunguziwa presha Yanga
9h ago
READ MORE β†’
Sele Day tiketi zinaelekea ukingoni
Sele Day tiketi zinaelekea ukingoni
10h ago
READ MORE β†’
Manqoba na ndoto ya fainali ligi ya mabingwa
Manqoba na ndoto ya fainali ligi ya mabingwa
10h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Ijumaa, Septemba 11 2026
Magazeti ya leo Ijumaa, Septemba 11 2026
13h ago
READ MORE β†’
Pacome aongoza hamasa KMC Complex
Pacome aongoza hamasa KMC Complex
1d ago
READ MORE β†’
Media Day; Manqoba, Kamwe wafunguka mipango ya kuikabili Gaborone United
Media Day; Manqoba, Kamwe wafunguka mipango ya kuikabili Gaborone United
1d ago
READ MORE β†’