Gaborone United vs Yanga mbashara Azam TV, Big Screen yaandaliwa Jangwani

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
4 Sep 2026
Gaborone United vs Yanga mbashara Azam TV, Big Screen yaandaliwa Jangwani

Mchezo wa mkondo wa kwanza hatua ya awali michuano ya ligi ya mabingwa barani Afrika kati ya Gaborone United dhidi ya Yanga, utarushwa mbashara na Azam TV kupitia Azam Sport 2.

Mchezo huo utapigwa kesho Jumamosi, Septemba 05, saa 2 usiku kwa saa za Tanzania. Yanga imeandaa 'BIG SCREEN' makao makuu ya klabu Jangwani jijini Dar es salaam kwa ajili ya mashabiki kushuhudia mtanange huo.

Yanga inatarajiwa kukamilisha maandalizi yake ya mwisho leo kwenye uwanja wa Taifa wa Botswana tayari kwa mtanange huo ambao Wananchi wanahitaji ushindi ili kujiweka katika nafasi nzuri ya kusonga mbele raundi ya kwanza.

Dakika 90 za mchezo wa mkondo wa pili zitapigwa Septemba 12 kwenye uwanja wa Azam Complex.

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
36m ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
4h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
8h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
9h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
9h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
12h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’