Mapema leo uongozi wa Yanga kwa Kushirikiana na GSM Foundation, wametembelea kituo cha Karim Children Care Centre jijini Arusha na kukabidhi mahitaji mbalimbali.
Ni sehemu ya utamaduni wa Yanga kuelekea mchezo wa ligi kuu dhidi ya Fountain Gate FC ambao utapigwa uwanja wa Sheikh Amri Abeid baadae leo.





ADVERTISE HERE