Kikosi cha Yanga kinaendelea na mazoezi makali Avic Town kuelekea mchezo wa ligi kuu dhidi ya Pamba Jiji.
Ijumaa August 28 Yanga itakuwa mwenyeji wa Pamba Jiji katika mtanange utakaopigwa uwanja wa KMC Complex.

ADVERTISE HERE