Klabu ya Yanga imechukua hatua nyingine kubwa kuelekea mapinduzi ya kiuchumi baada ya kutangaza rasmi mradi wa ujenzi wa jengo la kisasa la ghorofa 12 katika eneo lake mtaa wa Mafia na Nyamwezi, Kariakoo jijini jijini dar es salaam.
Uongozi wa klabu ya Yanga umetangaza zabuni (tenda) kwa ajili ya kuwakaribisha wakandarasi na makampuni makubwa ya ujenzi wenye sifa na uwezo wa kifedha na kiufundi kuomba kazi hiyo.

ADVERTISE HERE