Uongozi wa Yanga, Bechi la Ufundi, Wachezaji, Maofisa wa Yanga na wadau mbali mbali wa Michezo nchini wameshiriki kwenye Mazishi ya aliyekuwa Ofisa wa klabu hiyo Athuman Ramadhan Mganda maarufu kama Penta aliyefariki dunia jana.
Mazishi yeamefanyika katika Makaburi ya Kisutu jijini Dar es Salaam.








Mwenye ez Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema, peponi, Amen..
ADVERTISE HERE