FT : Yanga 4-1 Coastal Union, NBC PL

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
20 Aug 2026
FT : Yanga 4-1 Coastal Union, NBC PL

Yanga imetakata uwanja wa KMC Complex ikiichapa Coastal Union mabao 4-1 katika mchezo wa raundi ya pili ligi kuu ya NBC.

Unaweza kusema ulikuwa mchezo wa upande mmoja kwa muda mwingi na pengine Yanga ingeweza kufunga mabao mengi zaidi wakikosa nafasi nyingi za wazi.

Albert Kangwanda ndiye aliyefungua kalamu ya mabao ya Yanga kabla ya Maxi Nzengeli kuongeza bao la pili kabla ya mapumziko.

Yanga ilifunga mabao mengine mawili kipindi cha pili kupitia kwa Mudathir Yahya na Mohamed Hussein 'Zimbwe Jr' akifunga kalamu za mabao dakika za lala salama.

Peter Shalulile leo aliweka kambani mabao mawili ambayo hata hivyo hayakuhesabiwa akiwa ameotea.

Ushindi huo umeipeleka Yanga kileleni mwa msimamo wa ligi mapema kwa tofauti ya mabao ya kufunga

 

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
1h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
16h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
16h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
20h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
20h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’