Ninju kuitumikia Polisi Tanzania kwa mkopo

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
20 Aug 2026
Ninju kuitumikia Polisi Tanzania kwa mkopo

Beki kinda wa Yanga Abubakar Nizar Othman 'Ninju' amejiunga na Polisi Tanzania kwa mkopo hadi mwishoni mwa msimu huu, imefahamika.

Katika mpango wa kuhakikisha beki huyo mwenye umri wa miaka 18 anapata nafasi zaidi ya kucheza, inaelezwa benchi la ufundi la Yanga limependekeza atolewe kwa mkopo.

Katika dirisha hili Yanga imeongeza zaidi nyota chipukizi nao watahitaji kupata nafasi kanuni mpya ikizitaka klabu kutumia angalau kwa asilimia 9 nyota wa U20 kwenye kila mechi.

Yanga bado ina mipango ya muda mrefu na Ninju hivyo ni wazi kama atakuwa na maendeleo mazuri na kikosi cha Polisi Tanzania, msimu ujao atarejea kikosini.

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
49m ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
1h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
1h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
4h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
19h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
20h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
23h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’