Mechi tatu za ligi zinazofuata ni nyumbani

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
18 Aug 2026
Mechi tatu za ligi zinazofuata ni nyumbani

Baada ya ushindi wa mabao 3-1 dhidi ya Namungo Fc kwenye mchezo wa kwanza msimu huu, kikosi cha Yanga kimerejea Dar es salaam ambapo Wananchi wataweka kambi kwa muda kwani mechi tatu zinazofuata zitapigwa uwanja wa nyumbani.

Alhamisi August 20 Yanga itakuwa mwenyeji wa Coastal Union mchezo utakaopigwa uwanja wa KMC Complex na kufuatiwa na mechi dhidi ya Coastal Union siku ya Jumatatu, August 24.

Ijumaa August 28 Yanga itarudi tena KMC Complex kuikabili Pamba Jiji kabla ya kusafiri mkoani Arusha kuikabili Fountain Gate, Jumanne Septemba 1 2026.

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
24m ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
15h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
15h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
19h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
19h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’