Yanga, Chikola wasitisha mkataba; atua JKT Tanzania

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
14 Aug 2026
Yanga, Chikola wasitisha mkataba; atua JKT Tanzania

Kiungo mshambuliaji Offen Chikola amejiunga na klabu ya JKT Tanzania kwa mkataba wa miaka miwili akitokea klabu ya Yanga.

Chikola ametua JKT Tanzania akiwa mchezaji huru baada ya makubaliano ya pande mbili ya kusitisha mkataba kati yake na Yanga kufikiwa.

Chikola alitua Yanga msimu uliopita akitokea klabu ya Tabora United (sasa TRA United) ambapo aliwatumikia Wananchi kwa miezi sita tu kabla ya kutolewa kwa mkopo Singida BS.

Wakati anatua Yanga, Chikola alisaini mkataba wa miaka mitatu lakini baada ya kushindwa kujihakikishia nafasi ya kucheza, ni wazi amechagua kuendeleza maisha yake ya soka katika klabu ya JKT Tanzania.

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
4h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
7h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
12h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
13h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
13h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
16h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’