Hatma ya Depu sasa mikononi mwa benchi la ufundi

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
7 Aug 2026
Hatma ya Depu sasa mikononi mwa benchi la ufundi

Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Yanga Ali Kamwe amethibitisha kuwa wamepokea ofa nono kutoka kwa klabu ya Petro Atletico ya Angola inayomuhitaji mshambuliaji Laurindo Aurelio 'Depu'.

Kamwe amesema wanasubiri mapendekezo ya benchi la ufundi kabla ya uongozi kuchukua hatua ya 'kufanya biashara'.

"Ni kweli klabu imepokea ofa nono kutoka Petro Atletico ambao wanamtaka mshambuliaji wetu Depu. Sasa tumewaachia benchi la ufundi kutoa mapendekezo yao kama watamuhitaji mshambuliaji huyo au tumejitosheleza eneo la safu ya ushambuliaji."

"Kama benchi la ufundi limeridhika na wachezaji wengine waliopo eneo la safu ya ushambuliaji, basi tunaweza kufanya biashara lakini mpaka sasa bado tuko kwenye mazungumzo," alisema Kamwe.

Inaelezwa Petro Atletico tayari wana makubaliano binafsi na Depu wakisubiri kukamilika mazungumzo yao na Yanga ili kukamilisha usajii huo.

Yanga inalazimika kupunguza mchezaji mmoja wa kigeni ili kusalia na wachezaji 12. Usajili wa washambuliaji wawili Cheick Ibrahima Toure na Peter Shalulile ni wazi utachangia uamuzi wa Yanga kumuuza Depu.

Download Xtra 90 App

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
17m ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
3h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
8h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
8h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
9h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
12h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’