Comara atambulishwa rasmi

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
4 Aug 2026
Comara atambulishwa rasmi

Klabu ya Yanga imemtambulisha beki wa kati raia wa Ivory Coast Oumar Comara aliyetua kwa Wananchi akitokea Golden Arrow ya Afrika Kusini.

Comara alikuwa miongoni mwa wachezaji tegemeo katika safu ya ulinzi Golden Arrows kwenye ligi kuu ya Afrika Kusini PSL msimu uliopita.

Licha ya kucheza eneo la beki wa kati, Comara pia anamudu kucheza eneo la kiungo mkabaji hivyo ni mchezaji ambaye anaweza kutumika katika nafasi zote mbili.

Karibu Jangwani Comara..!

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
2h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
3h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
3h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
6h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
21h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
22h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’