kikosi cha Yanga kimewasili Kahama na kupokewa kwa 'bashasha' na mamia ya mashabiki wa timu hiyo waliojitokeza kwa wingi uwanja wa ndege.
Yanga itakuwa Bukombe kwenye hafla ya uzinduzi wa uwanja wa Bukombe.

ADVERTISE HERE