Shasha Man amewasili, atoa ahadi ya kibabe

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
4 Aug 2026
Shasha Man amewasili, atoa ahadi ya kibabe

Mshambuliaji mpya wa Yanga Peter Shalulile 'Shasha 'Man'  amewashukuru mamia ya mashabiki wa Yanga waliojitokeza Makao Makuu ya klabu hiyo Jangwani kumkaribisha.

Hafla ya mapokezi ya mshambuliaji huyo wa Kimataifa wa Namibia iliongozwa na Rais wa Yanga Injinia Hersi Said.

"Nawashukuru nyote mliofika hapa kunipokea, nimependa ari na morali mliyonayo. Ninawaahidi nitapambana ili kuhakikisha tunashinda mataji. Najua sitakuwa peke yangu, ni ushirikiano kati yetu wachezaji na nyinyi mashabiki," alisema Shalulile ambaye utambulisho wake ulirushwa mbashara na Azam TV

Ujio wa mfungaji huyo bora wa muda wote ligi kuu ya Afrika Kusini, umemaliza uvumi uliokuwa unasambazwa na baadhi ya watu kuwa Yanga haikumsajili mshambuliaji huyo wa zamani wa Mamelodi Sundowns na kuwa alikuwa akitumika kwa ajili ya masuala ya uchaguzi.

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Magazeti ya leo Ijumaa, Oktoba 30 2026
Magazeti ya leo Ijumaa, Oktoba 30 2026
43m ago
READ MORE β†’
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
12h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
16h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
20h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
21h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
21h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
1d ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’