Safu ya ushambuliaji Yanga usipime

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
28 Jul 2026
Safu ya ushambuliaji Yanga usipime

Katika dirisha hili Yanga imewekeza nguvu kubwa kuimarisha safu yake ya ushambuliaji baada ya changamoto zilizowakumba mabingwa hao wa nchi msimu uliopita.

Mpaka sasa Yanga imeongeza washambuliaji watatu katika dirisha hili; Hussein Mihambo akiwa mshambuliaji wa ndani, Cheikh Ibrahima Toure na Peter Shalulile wakiwa washambuliaji wa Kimataifa.

Washambuliaji hao wanaungana na Laurindo Aurelio 'Depu' anayeendelea kusalia kikosini huku Clement Mzize aliyekuwa majeruhi nae akiwa mbioni kurejea kikosini.

Lakini pia mshambuliaji Emmenuel Mwanengo nae ameendelea kusalia kikosini licha ya taarifa za awali za kutolewa kwa mkopo.

Kwa maana yake sasa Yanga ina washambuliaji sita kwenye eneo la mbele huku Mzize na Mwanengo wao wakiwa wanaweza pia kutumika kama mawinga.

Shalulile, Toure na Depu watachuana vikali pale mbele kocha Manqoba Mangqithi akiwa na machaguo ya washambuliaji ambao anaweza kuwatumia kwa mahitaji ya mechi husika.

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
17m ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
5h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
5h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
5h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
8h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
23h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’