GSM hajamaliza! bado wawili

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
28 Jul 2026
GSM hajamaliza! bado wawili

Baada ya kumshusha nchini mfungaji bora wa muda wote ligi kuu ya Afrika Kusini Peter Shalulile, taarifa kutoka ndani imedokeza kuwa tajiri bado hajamaliza!

Unakumbuka wakati Rais wa Yanga Injinia Hersi Said anatambulisha usajili wa nyota watatu; mshambuliaji Cheikh Ibrahima Touré na viungo washambuliaji/mawinga Albert Kangwanda na Housseine Zakouani, alibainisha wazi kuwa bado utambulisho wa wachezaji wawili wa kigeni.

Jana usiku Shalulile akatambulishwa na sasa imebaki nafasi moja, nao ukitajwa kuwa usajili mkubwa ambao unakwenda kutikisa nchi kwa mara nyingine.

Lakini pia inaelezwa kuna usajili mwingine mkubwa wa mchezaji wa ndani umefanyika hivyo kuna utambulisho wa wachezaji wawili kabla ya Yanga kukamilisha rasmi hesabu zake za usajili.

Juzi Yanga ilidokeza kuhusu ujio wa namba 6, ndio! Kuna kiungo fundi wata pleya anatarajiwa kutua Jangwani. Tetesi zimekuwa nyingi lakini wakati huu viongozi wa Yanga wamefanikiwa kwa kiasi kikubwa kuficha sajili hizi kubwa.

Ama kwa hakika wamemchokoza Bilionea GSM, nani aliwatuma waende kuchafua mazingira pale Jangwani?

Unaambia kwenye usajili wa dirisha hili, Yanga imeunda kikosi chenye thamani ya Tsh Bilioni 15..!

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
2h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
7h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
7h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
7h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
11h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’