Peter Shalulile, usajili wa kihistoria Yanga

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
28 Jul 2026
Peter Shalulile, usajili wa kihistoria Yanga

Ilianza kama tetesi hatimaye Yanga imethibitisha usajili wa mshambuliaji Peter Shalulile raia wa Namibia.

Shalulile anatua Yanga akitokea Mamelodi Sundowns ya Afrika Kusini.

Ni Wata Pleya! Usajili unaodhihirisha dhamira ya Yanga kuelekea michuano ya ligi ya mabingwa msimu ujao.

Shalulile anaondoka ligi ya Afrika Kusini akiacha rekodi ya aina yake akiwa mfungaji bora wa muda wote wa ligi hiyo akifunga mabao 130 akiwa na Sundowns.

Mfadhili wa Yanga GSM apewe maua yake kwa usajili huu wa Wata Pleya Peter Shalulile

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
3h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
4h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
4h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
7h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
22h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
23h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’