Yanga kuhamia dimba la Uhuru 2026/27

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
20 Jul 2026
Yanga kuhamia dimba la Uhuru 2026/27

Baada ya kufungwa kwa muda mrefu kwa ajili ya ukarabati, uwanja wa Uhuru sasa uko tayari kutumika kwa mechi za mashindano 2026/27.

Mabingwa wa soka Tanzania Bara Yanga wamechangua kutumia uwanja huo kwa ajili ya mechi zote za ndani. Uwanja huo sasa unaweza kuchukua takribani mashabiki 25,000 baada ya maboresho.

Bodi ya ligi leo inaweza hadharani ratiba ya Ligi Kuu kwa msimu wa 2026/27 inayotarajiwa kutimua vumbi kuanzia Agosti 14 ikitanguliwa na mchezo wa Ngao ya Jamii kati ya Yanga dhidi ya Simba utakaopigwa Agosti 12.

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
5h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
9h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
13h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
14h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
14h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
17h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’