Yanga yaanza na Abushiri 'Chuga Boy'

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
19 Jul 2026
Yanga yaanza na Abushiri 'Chuga Boy'

Klabu ya Yanga SC imemtambulisha rasmi kiungo mshambuliaji chipukizi, Juma Issa Abushiri (Chuga Boy), kutoka klabu ya Fountain Gate FC.

Usajili huu unakuja baada ya Yanga kuingilia kati na "kuhijack" dili la mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 18 ambaye hapo awali alikuwa njiani kuelekea nchini Ubelgiji kufanya majaribio katika klabu ya KAA Gent.

Chuga Boy amesaini kandarasi ya miaka mitatu (3) itakayomfanya asalie Jangwani hadi mwaka 2029.

Usajili huo unatajwa kuwa sehemu ya mkakati wa Yanga kukisuka upya kikosi ili kuhakikisha wanaendeleza utawala wao katika soka la ndani huku wakilenga kufanya vyema zaidi kwenye michuano ya Kimataifa.

CHUGA BOY NI MWANANCHI..

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
1h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
1h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
1h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
5h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
20h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
20h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
23h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’