Shekhan, Singida BS kimeeleweka

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
16 Jul 2026
Shekhan, Singida BS kimeeleweka

Kiungo mshambuliaji wa Yanga Shekhan Khamis anaelekea kujiunga na klabu ya Singida Black Stars kwa mkopo, imefahamika.

Taarifa za ndani zimethibitisha kuwa Shekhan amejiunga na matajiri hao kutoka mkoani Singida.

Aidha huenda akaungana na mshambuliaji Emmanuel Mwanengo ambaye pia anahusishwa kutua kwa walima alizeti hao.

Yanga imewatoa wachezaji hao kwa mkopo ili wakapate nafasi zaidi ya kucheza kwani wamekuwa na muda finyu kutokana na ushindani uliopo.

Lakini pia uamuzi huo unatoa nafasi kwa Yanga kuongeza wachezaji wapya waliosajiliwa kwenye dirisha hili.

Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Yanga Ali Kamwe amesema umefanyika usajili mkubwa wenye lengo la kukisuka upya kikosi cha mabingwa hao wa kihistoria.

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
5m ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
4h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
5h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
5h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
8h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
23h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’