Dirisha la usajili 2026/27 limefunguliwa

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
9 Jul 2026
Dirisha la usajili 2026/27 limefunguliwa

Dirisha la usajili kuelekea msimu wa mashindano 2026/27 tayari limefunguliwa ambapo klabu za Ligi Kuu, Championship, First Division na ligi ya Wanawake zitakuwa na nafasi ya kuboresha vikosi vyao.

Dirisha hilo lilifunguliwa rasmi Jumatatu Julai 06 2026 na litafungwa August 15 saa 5:59 usiku.

Ni takribani siku 40 muhimu za kuboresha vikosi tayari kwa mikiki mikiki ya 2026/27.

Mabingwa wa soka Tanzania Bara Yanga wao walianza michakato yao mapema Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Yanga Ali Kamwe akiweka bayana kuwa hivi karibuni wataanza kuweka hadharani silaha mpya walizozisajili

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
4h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
5h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
8h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
9h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
13h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
13h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
13h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
23h ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’