Yanga imehitimisha maandalizi yake jioni hii kuelekea mchezo wa ligi kuu dhidi ya JKT Tanzania.
Wananchi watakuwa dimba la Isamuhyo kesho saa 10 jioni kusaka ubingwa wa tano mfululizo ligi kuu ya NBC.

ADVERTISE HERE