Mjadala wa golikipa bora Diarra kaufunga mapemaaa

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
28 Jun 2026
Mjadala wa golikipa bora Diarra kaufunga mapemaaa

Golikipa namba moja wa Yanga Djigui Diarra ndiye golikipa bora wa ligi kuu ya NBC msimu huu 2025/26 baada ya kufikisha asisti 17.

Ukiwa umebaki mchezo mmoja, namba za Diarra zimetosha kumpa tuzo hiyo kwani anayefuata kwa kukusanya cleansheet anazo 15.

Umekuwa msimu bora kwa Diarra ambaye siku ya Jumanne atawaongoza Wananchi pale uwanja wa Isamuhyo kusaka ubingwa wa tano mfululizo katika mchezo dhidi ya JKT Tanzania.

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
29m ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
5h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
5h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
5h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
9h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’