Msimu wa soka umepamba moto! Kuanzia viwanja vya Ligi Kuu ya Tanzania Bara hadi miamba ya soka kule majuu, na sasa hivi huku macho yote ya walimwengu yakiwa kwenye Michuano ya Kombe la Dunia, hakuna kitu kibaya kama kupitwa na habari au matokeo ya timu unayoishabikia.
Kama wewe ni shabiki wa mpira wa miguu nchini Tanzania, Afrika Mashariki, au popote pale duniani, huna haja ya kuhangaika tena. Suluhisho la kila kitu linaleta kwako kupitia App ya Xtra 90 iliyoundwa maalum kwa ajili ya mashabiki wa soka.

Download Xtra 90 kupitia PLAY STORE au APP STORE
ADVERTISE HERE