Mayele kuandika historia kombe la Dunia mbele ya Ronaldo leo

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
17 Jun 2026
Mayele kuandika historia kombe la Dunia mbele ya Ronaldo leo

Kombe la Dunia 2026 linaendelea kutimua vumbi katika nchi za Canada, Mexico na Marekani; leo DR Congo ikitarajiwa kuchuana na Ureno katika moja ya mechi za kundi K utakaopigwa saa 2 usiku

DR Congo inarejea kwenye fainali za Kombe la Dunia kwa mara ya kwanza tangu mwaka 1974, jambo linaloifanya mechi dhidi ya Ureno kuwa ya kihistoria kwa taifa hilo la Afrika.

Ureno inaingia kwenye mchezo huo ikiwa miongoni mwa timu zinazopewa nafasi kubwa ya kufanya vizuri kutokana na kikosi chake chenye nyota wengi na uzoefu mkubwa wa mashindano makubwa.

Mshambuliaji wa zamani wa Yanga Fiston Mayele ni miongoni mwa wachezaji wa kikosi cha DR Congo ambacho leo kitakuwa kikisaka ushindi mbele ya Ureno ambayo safu yake ya ushambuliaji inaongozwa na mkongwe Cristiano Ronaldo (41).

Bila shaka huu utakuwa mchezo wa kihistoria kwa Congo na hata Mayele ambaye anakwenda kutimiza ndoto yake ya kushiriki michuano ya kombe la Dunia.

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
1m ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
15h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
15h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
18h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
19h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
23h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’