Wananchi wametua Arusha tayari kuikabili Fountain Gate

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
16 Jun 2026
Wananchi wametua Arusha tayari kuikabili Fountain Gate

Kikosi cha Yanga kimewasili salama mkoani Arusha kuelekea mchezo wa ligi kuu dhidi ya Fountain Gate utakaopigwa Alhamisi, Juni 18 uwanja wa Sheikh Amri Abeid.

Kocha Abdihamid Moalin na vijana wake watakuwa na siku moja ya kukamilisha maandalizi yao mkoani Arusha kabla ya mtanange huo.

Mkakati wa Yanga ni kuibuka na ushindi katika mchezo huo ili kujisafishia njia ya ubingwa wa tano mfululizo ligi kuu ya NBC.

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
6h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
10h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
15h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
15h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
15h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
18h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’