Kikosi cha Yanga leo kimeendelea na mazoezi kujiandaa na mchezo wa ligi kuu dhidi ya Fountain Gate.
Mabingwa hao watetezi watasafiri mkoani Arusha kuikabili Fountain Gate mchezo utakaopigwa Alhamisi, Juni 18 uwanja wa Sheikh Amri Abeid.










ADVERTISE HERE