Pacome amerejea tayari kwa mapambano ya mwisho wa msimu

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
2 Jun 2026
Pacome amerejea tayari kwa mapambano ya mwisho wa msimu

Kiungo mshambuliaji wa Yanga Pacome Zouzoua alikuwa miongoni mwa wachezaji ambao jana walirejea mazoezini kuanza maandalizi ya mikiki mikiki ya mechi za mwisho wa msimu.

Pacome alipata majeraha ya goti kwenye mchezo dhidi ya Singida BS na kumfanya akose mechi zilizofuata kuelekea mapumziko ya kalenda ya FIFA.

Hata hivyo profesa huyo wa boli sasa yuko imara akishiriki kikamilifu program za mazoezi wakati nyota ambao hawana majukumu ya timu za Taifa waliporejea kujifua KMC Complex jana.

Kurejea kwa Pacome ni habari njema kwa Wananchi ambao wanamuhitaji kila mchezaji kwenye mechi za kuhitimisha msimu.

Yanga inakabiliwa na mechi tano muhimu za kutetea ubingwa wa ligi kuu huku wakikabiliwa na mechi ngumu ya nusu fainali kombe la CRDB dhidi ya Azam Fc

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
2h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
3h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
3h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
6h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
21h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
22h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’