Goncalves anaweza kuibukia Azam Fc

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
28 May 2026
Goncalves anaweza kuibukia Azam Fc

Uongozi wa klabu ya Azam Fc unatajwa kufungua mazungumzo na aliyekuwa kocha wa Yanga, Pedro Goncalves ili kupata huduma yake kuelekea msimu ujao, imefahamika.

Azam Fc wanasaka mbadala wa Florent Ibenge ambaye inaelezwa tayari amefikia makubaliano ya Shirkisho la soka la Mali kwenda kuinoa timu ya Taifa.

Tangu afutwe kazi Yanga, Goncalves hana timu, hivyo upo uwezekano mkubwa akaungana na wana rambaramba hao.

Yanga iliachana na Goncalves mapema mwezi huu baada ya mchezo dhidi ya KMC ambao Wananchi waliibuka na ushindi wa bao 1-0.

Licha ya kutopoteza mchezo wowote wa ligi katika kipindi chote alichoinoa Yanga, Goncalves alipewa mkono wa kwaheri kwa kile kilichoelezwa mbinu zake hazikuendana na falsafa ya soka la Yanga.

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Magazeti ya leo Ijumaa, Oktoba 30 2026
Magazeti ya leo Ijumaa, Oktoba 30 2026
1h ago
READ MORE β†’
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
13h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
17h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
22h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
22h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
22h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
1d ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’