Pacome apata jeraha la goti, kufanyiwa vipimo zaidi

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
22 May 2026
Pacome apata jeraha la goti, kufanyiwa vipimo zaidi

Kiungo mshambuliaji wa Yanga Pacome Zouzoua leo alicheza kwa dakika 45 tu kwenye mchezo wa ligi kuu dhidi ya Singida BS.

Daktari wa Yanga Dk Moses Etutu amethibitisha kuwa Pacome alipata jeraha juu ya goti na hivyo kushindwa kuendelea na mchezo huo ambao Yanga iliibuka na ushindi wa mabao 3-0.

Kwa taarifa ya awali ni kuwa sio jeraha kubwa sana, Jumamosi atafanyiwa vipimo zaidi.

Yanga inakabiliwa na mchezo dhidi ya Namungo Fc siku ya Jumatatu uwanja wa KMC Complex ambapo baada ya mchezo huo kutakuwa na mapumziko ya takribani wiki mbili kupisha kalenda ya FIFA.

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
10h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
13h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
18h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
18h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
18h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
22h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’