Siku kubwa ya kihistoria imewadia

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
15 May 2026
Siku kubwa ya kihistoria imewadia

Lile jambo kubwa linalosubiriwa kwa hamu ya mashabiki na Wanachama wa Yanga sasa linakwenda kutimia Makao Makuu, Jangwani jijini Dar es salaam.

Leo Yanga na GSM watasaini mkataba wa ujenzi wa uwanja wa kisasa katika eneo la Jangwani.

Mkuu wa mkoani wa Dar es salaam Mh Albert Chalamila ndiye mgeni rasmi kwenye tukio hilo la kihistoria.

Wengi walidhani viongozi wa Yanga  wanafanya 'siasa' kwenye suala la ujenzi wa uwanja lakini sasa ni rasmi hakuna maneno mengi tena, ni utekelezaji kwa vitendo.

Rais wa Yanga Injinia Hersi Said aliwaahidi Wanayanga kuwa atahakikisha Yanga inapata uwanja kabla ya kuondoka kwenye majukumu ya kuiongoza Yanga.

Leo ni hatua muhimu kuelekea kukamilika kwa ahadi hiyo ambayo awali wengi waliibeza.

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
6h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
9h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
14h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
14h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
14h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
18h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’