Ni Ijumaa ya kihistoria kwa Yanga

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
14 May 2026
Ni Ijumaa ya kihistoria kwa Yanga

Kesho Ijumaa, May 15 tukio la kihistoria litafanyika Makao Makuu ya klabu ya Yanga, Jangwani jijini Dar es salaam.

Baada ya Kamati maalum inayosimamia ujenzi wa uwanja kukutana juzi, inaelezwa mchakato wa kuelekea kuanza ujenzi wa uwanja huo umekamilika na mkataba rasmi utasainiwa kati Mwekezaji GSM na Yanga.

Hatua hiyo itaashiria kuanza rasmi kwa ujenzi wa uwanja chini ya GSM kampuni iliyoshinda tenda ya kukamilisha mradi huo.

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
4h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
8h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
13h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
13h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
13h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
17h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’