GSM akatembelea eneo la ujenzi wa uwanja Jangwani

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
12 May 2026
GSM akatembelea eneo la ujenzi wa uwanja Jangwani

Mfadhili/Mdhamini wa klabu ya Yanga Ghalib Said Mohamed 'GSM' leo ametembelea eneo la Jangwani ambalo uwanja wa klabu ya Yanga unatarajiwa kujengwa.

Mapema leo Kamati maalum inayosimamia mchakato wa ujenzi wa uwanja huo ilikutana Makao Makuu ya Yanga katika kikao ambacho kilijadili masuala mbalimbali kuhusu mchakato huo.

Baada ya kikao hicho ndipo GSM akiongozana na maafisa wengine wa Yanga wakatembelea eneo ambalo uwanja huo utajengwa.

Taarifa kutoka ndani ya kikao hicho, imebainisha kuwa taratibu zote zimekamilika ambapo Ijumaa ramani ya uwanja huo itawekwa hadharani baada ya mkataba rasmi wa kuanza zoezi la ujenzi kusainiwa.

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
3h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
4h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
4h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
7h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
22h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
23h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’