Zahera aitisha kikao na wachezaji Yanga

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
8 Jun 2018
Zahera aitisha kikao na wachezaji Yanga
Kocha Mkuu wa Yanga Mwinyi Zahera ametaka kukutana na wachezaji wote wa Yanga jijini Dar es salaam, imefahamika

Zahera yupo Dar kwa siku kadhaa sasa ikielezwa anashirikiana na uongozi wa Yanga kukamilisha masuala ya usajili.

Kocha huyo ndiye anayetoa maamuzi ya mwisho kuhusu wachezaji wapya wanaosajiliwa lakini pia ndiye anayeamua ni wachezaji gani wabaki kwa ajili ya msimu ujao.

Baada ya kumalizika kwa michuano ya SportPesa Super Cup, wachezaji wa Yanga walipewa likizo hadi Juni 25 watakaporejea kuanza maandalizi ya mchezo wa kombe la Shirikisho.
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Magazeti ya leo Ijumaa, Oktoba 30 2026
Magazeti ya leo Ijumaa, Oktoba 30 2026
1h ago
READ MORE β†’
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
13h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
17h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
22h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
22h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
22h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
1d ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’