Mabosi Yanga, GSM wakutana Jangwani leo, ni kuhusu uwanja

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
12 May 2026
Mabosi Yanga, GSM wakutana Jangwani leo, ni kuhusu uwanja

Mabosi wa klabu ya Yanga leo watakutana na Mwekezaji wa ujenzi wa uwanja GSM pamoja na washika dau wengine katika kikao ambacho ni hatua muhimu kuelekea kuanza rasmi kwa ujenzi wa uwanja huo.

Kikao hicho kinahudhuriwa na Rais wa Yanga Injinia Hersi Said wakati Mwenyekiti wa makampuni ya GSM Ghalib Said Mohamed ambaye ndiye aliyeshinda zabuni ya ujenzi wa uwanja huo nae atakuwepo.

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
4h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
4h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
4h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
8h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
23h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
23h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’