Faini ya Jumba jeupe la Maajabu imelipwa na Wananchi! Takribani Tsh Milioni 31 zimepatikana katika kampeni iliyoendeshwa na Yanga kuchangia kulipa faini ya Tsh Milioni 30.
Yanga imeendesha zoezi hilo kwa takribani saa 10 na Wananchi wameitika kutoka kila kona ya Tanzania!.

ADVERTISE HERE