Kituo kinachofuata ni Dodoma Jiji, Singida

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
11 May 2026
Kituo kinachofuata ni Dodoma Jiji, Singida

Baada ya ushindi muhimu wa mabao 3-0 dhidi ya Coastal Union juzi, kikosi cha Yanga kimesalia na mechi nane za kutetea ubingwa wa ligi kuu kwa msimu wa tano mfululizo.

Mchezo unaofuata sasa ni dhidi ya Dodoma Jiji ambao utapigwa uwanja wa Airtel mkoani Singida.

Wananchi wanaelekea Singida kucheza kwenye uwanja huo kwa mara ya pili msimu huu baada ya ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Singida BS katika mchezo wa kwanza uliopigwa kwenye uwanja huo.

Dodoma Jiji kwa sasa wanatumia uwanja wa Airtel kama uwanja wao wa nyumbani kufuatia kufungiwa kwa uwanja wa Jamhuri.

Yanga inaelekea mkoani Dodoma leo kisha kuunganisha Singida tayari kwa mchezo huo utakaopigwa siku ya Jumatano, May 13

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
7h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
7h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
11h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
11h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
15h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
16h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
16h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’