Mudathir amemaliza adhabu

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
10 May 2026
Mudathir amemaliza adhabu

Habari njema kwa Wananchi ni kuwa kiungo Mudathir Yahya amemaliza adhabu ya kufungiwa mechi tatu na atakuwa tayari kurejea kikosini kwenye mchezo unaofuata.

May 13 Yanga itakuwa Singida kumenyana na Dodoma Jiji katika mchezo wa raundi ya 23 ligi kuu ya NBC.

Mudathir amekosa mechi tatu dhidi ya Simba, KMC na jana Coastal Union.

Msimu huu Mudathir amekuwa moto wa kupotea mbali akiweka kambani mabao 7 na kutoa pasi nne za mabao.

Dodoma Jiji wajiandae kukutana na Zanzibar Greatest..!

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
2h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
7h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
7h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
7h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
10h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’