Benchi jipya la ufundi chini ya makocha Abdilhamid Moalin na Patrick Mabedi leo wameanza majukumu yao wakikiandaa kikosi cha Yanga kuelekea mchezo wa ligi kuu dhidi ya Coastal Union/
Jumamosi, May 09 Yanga itakuwa mwenyeji wa Coastal Union katika mchezo utakaopigwa uwanja wa KMC Complex.







ADVERTISE HERE